• HABARI MPYA

    Friday, January 23, 2026

    STEPHANE AZIZ KI AJIUNGA NA AL ITTIHAD YA LIBYA


    MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki amejiunga na Al Ittihad ya Libya baada ya kuitumikia Wydad AC kwa nusu msimu tu akitokea Yanga.
    Kocha raia wa Afrika Kusini, Rulani Mokwena ambaye ni shabiki mzuri wa Aziz Ki alijaribu kumchukua mchezaji huyo katika timu yake, MC Alger ya Algeria lakini ofa nzuri ya fedha kutoka Libya ikamkwamisha.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STEPHANE AZIZ KI AJIUNGA NA AL ITTIHAD YA LIBYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top