• HABARI MPYA

    Friday, January 23, 2026

    MOROCCO NA SENEGAL ZATAWALA KIKOSI CHA AFCON 2025


    KIKUNDI cha masuala ya Ufundi cha Shirikisho la Soka Afrika (CAF-TSG) kimetaja kikosi Boa cha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, huku wenyeji, Morocco na Senegalwalioibuka mabigww akitoa nyota wengi wakiongozwa na Yassine Bounou, Idrissa Gueye na Sadio Mané.
    Nigeria, ambayo ilimaliza nafasi ya tatu imetoa wachezaji watatu ambao ni beki Calvin Bassey, winga Ademola Lookman na mshambuliaji, Victor Osimhen ambao walikuwa na mchango mkubwa kwa Super Eagles kwenye Fainali hizo.
    KIKOSI CHA AFCON 2025
    KIPA
    Yassine Bounou (Morocco)
    MABEKI
    Achraf Hakimi (Morocco)
    Moussa Niakhaté (Senegal)
    Calvin Bassey (Nigeria)
    Noussair Mazraoui (Morocco)
    VIUNGO
    Ademola Lookman (Nigeria)
    Pape Gueye (Senegal)
    Idrissa Gueye (Senegal)
    WASHAMBULIAJI
    Brahim Díaz (Morocco)
    Victor Osimhen (Nigeria)
    Sadio Mané (Senegal)
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MOROCCO NA SENEGAL ZATAWALA KIKOSI CHA AFCON 2025 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top