RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa jimbo la Arusha, Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Katika uteuzi huo uliofanywa leo, Makonda anachukua nafasi ya Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Mbunge wa jimbo la Kilosa, Morogoro aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Ikulu (Kazi Maalum).





.png)
0 comments:
Post a Comment