WENYEJI, Morocco wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cameroon usiku wa jana Uwanja wa Prince Moulay Abdellah Jijini Rabat.
Mabao ya Simba hao wa Atlasi yamefungwa na viungo washambuliaji wazaliwa wa Hispania, Brahim Abdelkader Díaz wa Real Madrid ya Hispania dakika ya 26 na Ismael Saibari wa PSV Eindhoven ya Uholanzi dakika ya 74.




.png)
0 comments:
Post a Comment