TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, beki wa kati Lameck Elias Lawi dakika ya 73 na sasa Azam FC itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho kati ya Yanga SC na Singida Black Stars.



.png)
0 comments:
Post a Comment