WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, MWIGULU ALIPOIBUKA MAZOEZINI YANGA LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na mashabiki wa Yanga alipotembelea kambi ya mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam jioni ya leo
Mwigulu baada ya mazoezi alizungumza kwa furaha wananchi wenye mapenzi na Yanga kama yeye
Yanga inajiandaa na mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana Jumamosi ijayo
Pamoja na kufanya mazoezi Uwanja wa Boko, Yanga imeweka kambi katika hoteli ya Ludger Plaza, Kunduchi, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment