Mshambuliaji wa Chelsea, Victor Moses akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Liverpool katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini Pasadena, California, Marekani. Chelsea ilishinda 1-0, bao pekee la Gary Cahill aliyemalizia kona ya Cesc Fabregas, ambaye baadaye alitolewa kwa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Ragnar Klavan kipindi cha pili. Na Roberto Firmino aliifungia bao Liverpool, ambalo lilikataliwa kwa sababu alikuwa ameotea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment