• HABARI MPYA

  Monday, July 25, 2016

  AZAM FC WALIVYOKAMUA UFUKWE WA MTONI MARINE LEO ZENJI

  Viungo wa Azam FC, Himid Mao (kushoto) na Frank Domayo wakivutana katika mazoezi yao ya asubuhi ya leo ufukwe wa hoteli ya Mtoni Marine, Zanzibar ambako wameweka kambi kujniandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 17, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Yanga SC PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOKAMUA UFUKWE WA MTONI MARINE LEO ZENJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top