• HABARI MPYA

  Saturday, July 30, 2016

  BARCELONA YITANDIKA 3- 1 CELTIC KIRFIKI

  Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka mchezaji wa Celtic katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini Dublin. Barcelona ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Arda Turan, Munir na Efe Ambrose aliyejifunga wakati la Celtic lilifungwa na Leigh Griffiths PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YITANDIKA 3- 1 CELTIC KIRFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top