• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2016

  SHANGWE ZA SIMBA KUMNG’OA ZAMALEK 2003, DEWJI ALIHUTUBIA PEMBENI YA MZEE MWINYI

  Mdhamini wa Simba SC, Mohamed Dewji akihutubia maelfu ya wanachama na wapenzi wa klabu hiyo Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam mwaka 2003 baada ya klabu hiyo kuitoa Zamalek ya Misri na kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kushoto ni mgeni Rasmi, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHANGWE ZA SIMBA KUMNG’OA ZAMALEK 2003, DEWJI ALIHUTUBIA PEMBENI YA MZEE MWINYI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top