• HABARI MPYA

  Wednesday, July 27, 2016

  YANGA WALIPOPIGWA 3-0 NA ASEC SHAMBA LA BIBI 1998

  Mshambuliaji wa ASEC Mimosa ya Ivory Coast, Abou Dominique (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga SC, John Jacob Mwansasu katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. ASEC ilishinda 3-0 katika msimu ambao iliibuka bingwa wa michuano hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIPOPIGWA 3-0 NA ASEC SHAMBA LA BIBI 1998 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top