• HABARI MPYA

    Sunday, July 31, 2016

    ORIGI, FIRMINO WOTE WAFUNGA LIVERPOOL IKIIFUMUA 2-0 AC MILAN MAREKANI

    Divock Origi akiifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya AC Milan katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kiataifa Uwanja wa Levi mjini Santa Clara, Marekani. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Roberto Firmino akimalizia kazi nzuri ya Sheyi Ojo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ORIGI, FIRMINO WOTE WAFUNGA LIVERPOOL IKIIFUMUA 2-0 AC MILAN MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top