• HABARI MPYA

  Sunday, July 24, 2016

  SIGARA ILIKUWA FAHARI YA WANA TEMEKE

  Baadhi ya wachezaji wa iliyokuwa timu ya Sigara FC ya Chang’ombe, Temeke, Dar Salaam kutoka kulia Abdul Maneno, Abubakar Kombo, Ali Shah, Athumani Chama na wakiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam kabla ya moja ya mechi zao za Ligi Kuu ya Safari Lager (sasa Vodacom) mwaka 1996
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIGARA ILIKUWA FAHARI YA WANA TEMEKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top