• HABARI MPYA

  Saturday, July 30, 2016

  ATLETICO MADRID YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM HOTSPUR

  Nacer Chadli wa Tottenham Hotspur akimiliki mpira mbele ya Stefan Savic wa Atletico Madrid katika mchezo wa Kombe la Kimataifa mjini Melbourne usiku huu. Madrid ilishinda 1-0, bao pekee la Diego Godin PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM HOTSPUR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top