• HABARI MPYA

    Sunday, July 31, 2016

    IBRA CADABRA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YA MOURINHO IKIUA 5-2

    Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akiifungia bao la kwanza Manchester United kiakrobatiki katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Galatasaray mjini Gothenburg, Sweden. Mabao mengine ya United yalifungwa na Nahodha Wayne Rooney mawili, Marouane Fellaini na Juan Mata PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IBRA CADABRA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YA MOURINHO IKIUA 5-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top