• HABARI MPYA

  Friday, July 29, 2016

  MAN CITY YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND KWA PENALTI 6-5

  Kipa wa Manchester City, Angus Gunn akipangua mkwaju wa penalti wa Mikel Merino na kuiwezesha timu yake kushinda kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kirafiki mjini Shenzhen usiku wa Alhamisi. Sergio Aguero alianza kufunga dakika ya kabla ya Christian Pulisic kuisawazishia Dortmund dakika ya 90 ushei, kisha timju hizo kwend akumalizana kwenye matatua  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND KWA PENALTI 6-5 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top