• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2016

  BAYERN MUNICH YAIFUMUA 4-1 INTER MILAN, GREEN APIGA HAT TRICK

  Winga Julian Green (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia hat-trick Bayern Munich katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Inter Milan mjini Charlotte, North Carolina, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Franck Ribery, wakati Mauro Icardi aliifungia Inter Milan bao la kufutia machozi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAIFUMUA 4-1 INTER MILAN, GREEN APIGA HAT TRICK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top