• HABARI MPYA

    Monday, July 25, 2016

    STOKE CITY 'YAIBOMOA' LIVERPOOL, YAMSAINI MIAKA MITANO JOE ALLEN

    Kiungo wa Liverpool, Joe Allen akiwa ameshika jezi ya ya Stoke City baada ya kukamilisha uhamisho wa dau la Pauni Milioni 13.5 leo akisaini mkataba wa miata mitano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STOKE CITY 'YAIBOMOA' LIVERPOOL, YAMSAINI MIAKA MITANO JOE ALLEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top