Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, July 21, 2016

  RONALDO FUNDI HADI KWENYE MAJI, SIYO UWANJANI TU!

  Cristiano Ronaldo akiendesha boti katika bahari ya Mediterranean visiwa vya Ibiza. Ronaldo yupo mapumziko baada ya kuiwezesha timu yake ya taifa, Ureno kutwaa Kombe la Euro 2016 nchini Ufaransa na atajiunga na klabu yake, Real Madrid wiki ijayo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: RONALDO FUNDI HADI KWENYE MAJI, SIYO UWANJANI TU! Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top