• HABARI MPYA

  Friday, July 29, 2016

  MAFUNDI WA MPIRA NA MAFUNDI BAISKELI PIA

  Wachezaji wa Azam FC wakiendxesha mazoezi ya kuendesha baiskeli jana visiwani Zanzibar ambako wameweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wakianza na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga Agosti 17, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam PICHA ZAIDI GONGA HAPA   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAFUNDI WA MPIRA NA MAFUNDI BAISKELI PIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top