• HABARI MPYA

  Friday, July 29, 2016

  DROGBA AWATUNGUA BONGE LA BAO ARSENAL MECHI YA KIRAFIKI

  Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba akishangilia baada ya kuifungia kombaini ya nyota wa Ligi ya Marekani, MLS All Stars bao la kusawazisha dhidi ya Arsenal asubuhi ya leo Uwanja wa Avaya, San Jose Earthquakes. Arsenal ilishinda 2-1 mabao ya Joel Campbell kwa penalti na Chuba Akpom aliyemalizia pasi ya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DROGBA AWATUNGUA BONGE LA BAO ARSENAL MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top