• HABARI MPYA

  Saturday, July 23, 2016

  LEICESTER CITY YAIBOMOA CELTIC KWA MATUTA KOMBE LA KIMATAIFA

  Nyota wa Leicester City, Riyad Mahrez akimtoka beki wa Celtic, Emilio Izaguirre katika mchezo wa Kombe la Kimataifa la Mabingwa leo Uwanja wa Parkhead mjini Glasgow, Scotland. Leicester ilishinda kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 1-1 Riyad Mahrez akianza kuifungia Leicester kabla ya Eoghan O'Connell kuiswazishia Celtic. Katika penalti, Ciftci, Johansen, Allan, O'Connell, Christie waliifungia Celtic huku ya Forrest ikiokolewa na upande wa Leicester waliofunga ni Fuchs, Wasilewski, Drinkwater, Chilwell, Okazaki na Amartey PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAIBOMOA CELTIC KWA MATUTA KOMBE LA KIMATAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top