• HABARI MPYA

  Sunday, July 31, 2016

  REAL MADRID YAICHAPA CHELSEA 3-2 KWA MBINDE MAREKANI

  Marcelo akifurahi baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Michigan mjini Ann Arbor, Marekani. Bao lingine la Real limefungwa na  Mariano wakati ya Chelsea yamefungwa na Eden Hazard PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA CHELSEA 3-2 KWA MBINDE MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top