• HABARI MPYA

  Saturday, July 23, 2016

  DAVID MOYES KOCHA MPYA SUNDERLAND, ACHUKUA MIKOBA YA SAM ALLARDYCE

  Kocha David Moyes akiwa ameshika jezi ya Sunderland leo baada ya kusaini mkataba wa miaka minne kufundisha klabu hiyo akirithi mikoba ya Sam Allardyce aliyechukuliwa na FA kufundisha timu ya taifa ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAVID MOYES KOCHA MPYA SUNDERLAND, ACHUKUA MIKOBA YA SAM ALLARDYCE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top