• HABARI MPYA

  Friday, July 22, 2016

  MAN UNITED YACHEZEA 4-1 ZA BURUSSIA DORTMUND CHINA

  Mshambauliaji wa Manchester United, Memphis Depay akinyoosha mguu kuufikia mpira kwenye himaya ya beki wa Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Shanghai, China. Dortmund walishinda 4-1, mabao yao yakifungwa na Castro mawili dakika ya 19 na 86,Pierre-Emerick Aubameyang kwa penalti dakika ya 36 na Ousmane Dembele dakika ya 57, wakati la United lilifungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YACHEZEA 4-1 ZA BURUSSIA DORTMUND CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top