• HABARI MPYA

  Tuesday, July 26, 2016

  OZIL ANAVYOKULA BATA ZAKE MAREKANI KABLA YA KUREJEA ARSENAL

  Kiungo wa Ujerumani, Mesut Ozil akiwa amepumzika mjini Los Angeles, Marekani baada ya michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa kabla ya kurejea London katika klabu yake, Arsenal kuanza maandalizi ya msimu mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OZIL ANAVYOKULA BATA ZAKE MAREKANI KABLA YA KUREJEA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top