• HABARI MPYA

  Tuesday, July 26, 2016

  HUYU BONGE NDIYE ANAYECHELEWESHA DILI LA POGBA KUTUA MAN UNITED

  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba anayetakiwa na Manchester United ya England, akiwa na wakala Mino Raiola (kushoto) wakiogelea mjini Miami, Marekani. Taarifa zinasema malipo ya Pauni Milioni 18.4 anayopaswa kupewa Raiola iwapo Pogba atauzwa ndiyo yanachelewesha dili hilo kukamilika, kutokana na Juventus kukataa kulipa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUYU BONGE NDIYE ANAYECHELEWESHA DILI LA POGBA KUTUA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top