• HABARI MPYA

  Friday, July 22, 2016

  SAMATTA ALIVYOPIGA PENALTI YAKE JANA GENK IKISONGA MBELE EUROPA LEAGUE

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ‘Sama Goal’ akifunga penalti ya tatu timu yake, KRC Genk ya Ubelgiji  ikishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ya jumla ya 2-2, dhidi ya wenyeji Buducnost jana usiku Uwanja wa Pod Goricom mjini Podgorica, Montenegro katika mchezo wa marudiano Raundi ya Pili ya mchujo wa kufuzu hatua ya makundi ya Europ League.
  Samatta akijitayarisha kwenda kupiga penalti yake baada ya mchezo wa jana uliodumu kwa dakika 120 kumalizika kwa wenyeji kushinda 2-0  
  Kocha wa Genk akiwapa maelekezo wachezaji wake kabla ya zoezi la penalti
  Wachezaji wa Genk wakati wa upigwaji wa penalti jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOPIGA PENALTI YAKE JANA GENK IKISONGA MBELE EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top