• HABARI MPYA

  Friday, July 22, 2016

  ARSENAL YATOA SARE NA 'KITIMU' CHA DARAJA LA PILI UFARANSA

  Mchezaji wa Arsenal, Alex Iwobi akimiliki mpira mbele ya Deme N'Diaye wa Lens ya Ligue 2 Ufaransa katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Stade Bollaert-Delelis. Timu hizo zilitoka sare ta 1-1, Lens wakitangulia kwa bao la Mathias Autret dakika ya 38, kabla ya Alex Oxlade-Chamberlain kuisawazishia The Gunners dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YATOA SARE NA 'KITIMU' CHA DARAJA LA PILI UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top