• HABARI MPYA

  Saturday, July 09, 2016

  PEPE FITI KUWAVAA UFARANSA FAINALI EURO 2016 KESHO

  Beki tegemeo wa Ureno, Kepler Laveran Lima Ferreira maarufu kama Pepe akinyoosha mguu wakati wa mazoezi ya timu yake leo mjini Marcoussis, jirani na Paris kujiandaa fainali ya Euro 2016 kesho dhidi ya wenyeji, Ufaransa Uwanja wa Stade de France. Pepe anatarajiwa kurejea uwanjani kesho baada ya kukosekana katika Nusu Fainali dhidi ya Wales Ureno ikishinda 2-0 kutokana na kuwa majeruhi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PEPE FITI KUWAVAA UFARANSA FAINALI EURO 2016 KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top