• HABARI MPYA

  Sunday, July 10, 2016

  IDDI MOSHI ENZI ZAKE ALIKUWA MPISHI NA MFUNGAJI VILE VILE YANGA SC

  Kiungo na mshambauliaji wa Yanga, Iddi Moshi Shaaban akimiliki mpira mbele ya kipa wa timu pinzani katika moja ya mechi za Ligi Kuu ya Safari Lager (sasa Ligi Kuu ya Vodacom) mwaka 2000 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam. Enzi zake, Moshi aliyejiunga na Yanga akitokea Milambo ya kwao, Tabora na akacheza pia Moro United baadaye, alikuwa mpishi na mfungaji hodari wa mabao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IDDI MOSHI ENZI ZAKE ALIKUWA MPISHI NA MFUNGAJI VILE VILE YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top