• HABARI MPYA

    Sunday, July 10, 2016

    BILA SAMATTA, KRC GENK HAING'ATI, YALAZIMISHWA SARE 0-0

    Wachezaji wa KRC Genk na K. Lierse SK wakigombea mpira wa juu katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Herman Vanderpoorten City mjini Lier, ambao ulimalizika kwa sare ya 0-0. Genk jana ilicheza bila mshambuliaji wake Mtanzania, Mbwana Ally Samatta  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BILA SAMATTA, KRC GENK HAING'ATI, YALAZIMISHWA SARE 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top