• HABARI MPYA

  Friday, July 01, 2016

  HUYU HAPA OMOG AKIPOKEWA NA KATIBU MPYA WA SIMBA

  Kocha Mcameroon, Joseph Marius Omoh akitokeza nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka kwao, tayari kusaini Mkataba wa kufundisha klabu kongwe nchini, Simba SC 
  Kocha Omoh (kushoto) akiwa na Katibu wa Simba, Patrick Kahemele aliyempokea usiku huu JNIA. Omog alikuwa kocha wa Azam FC misimu miwili iliyopita wakati Kahemele akiwa Meneja wa klabu hiyo na wote wanakutana Msimbazi kama waajiriwa wapya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUYU HAPA OMOG AKIPOKEWA NA KATIBU MPYA WA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top