• HABARI MPYA

  Thursday, July 07, 2016

  HANS POPPE ALIPOMFUNGIA SAFARI DENNIS MDOE WA YANGA HADI MAREKANI

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (wa tatu kutoka kushoto) akiwa rafiki zake mbalimbali akiwemo mshambuliaji wa zamani wa Nyota Nyekundu na Yanga SC, Dennis Mdoe (wa pili kulia walioketi kwenye sofa ) mjini Saint Louis Missouri, Marekani jana baada ya sala ya Eid El Fitri.  Hans Poppe yuko Marekani kwa mapumziko hadi mwisho wa mwezi. Mdoe aliyewahi pia kucheza timu ya taifa, kwa sasa anaishi Marekani alipokwenda mwaka 1990 akitokea Botswana alipokwenda kucheza soka ya kulipwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HANS POPPE ALIPOMFUNGIA SAFARI DENNIS MDOE WA YANGA HADI MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top