• HABARI MPYA

  Thursday, July 07, 2016

  GUARDIOLA ANAVYOIANDAA MAN CITY KUIVAA BAYERN MUNICH JULAI 20 ALLIANZ ARENA

  Kocha mpya wa Manchester City, Pep Guardiola akizungumza na wachezaji wake wakati wa mazoezi jana Uwanja wa Etihad mjini Manchester City kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya dhidi ya timu yake ya zamani, Bayern Munich Uwanja Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani Julai 20, mwaka huu  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GUARDIOLA ANAVYOIANDAA MAN CITY KUIVAA BAYERN MUNICH JULAI 20 ALLIANZ ARENA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top