// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PLUIJM ABWAGA MANYANGA YANGA SC, ATIMKIA UARABUNI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PLUIJM ABWAGA MANYANGA YANGA SC, ATIMKIA UARABUNI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, May 08, 2014

    PLUIJM ABWAGA MANYANGA YANGA SC, ATIMKIA UARABUNI

    KOCHA wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm leo amewaaga rasmi wachezaji wake, viongozi, wapenzi na wanachama baada ya kumaliza Mkataba wake wa miezi sita.

    Pluijm aliyeanza kazi Januari Yanga SC, sasa anakwenda kujiunga na klabu ya Al Shoalah FC ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PLUIJM ABWAGA MANYANGA YANGA SC, ATIMKIA UARABUNI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top