Mshambauliaji Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ (katikati) akifurahia na wachezaji wenzake wa Simba SC baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Safari Lager (sasa Ligi Kuu ya Vodacom) mwaka 2001 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Chinga alicheza Yanga kuanzia mwaka 1993 akitokea Bandari ya Mtwara kabla ya kwenda Simba SC mwaka 2000 alikostaafia soka yake mwaka 2001
Rams QB Matthew Stafford beats out Drake Maye to win his first NFL MVP
award in a very close vote
-
Matthew Stafford led the NFL in passing yards and touchdowns this season.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment