• HABARI MPYA

  Monday, July 04, 2016

  JUMA ABDUL NA KAMUSOKO NINI TENA HAPA!

  Wachezaji wa Yanga, beki Juma Abdul (kushoto) akijadiliana na kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko (kulia) wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana Julai 16, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 
  Juma Abdul akiwaambia neno wenzake wakati anaondoka baada ya mazoezi
  Kamusoko akiondoka uwanjani kama mtu aliyechoka sana baada ya mazoezi hayo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUMA ABDUL NA KAMUSOKO NINI TENA HAPA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top