• HABARI MPYA

  Friday, July 08, 2016

  GRIEZMANN AIPELEKA UFARANSA FAINALI EURO 2016, APIGA ZOTE MBILI JERUMANI LAFA 2-0

  Mshambuliaji Antoine Griezmann akishangilia baada ya kufunga mabao yote mawili Ufaransa ikiilaza Ujerumani 2-0 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille, Ufaransa. Griezmann alifunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 45 na ushei, baada ya kiungo Bastian Schweinsteiger kuunawa mpira kwenye boksi, wakati la pili alifunga 72 akimalizia mpira uliotemwa na kipa Manuel Neuer baada ya krosi ya kiungo Paul Pogba na sasa Ufaransa itakutana na Ureno katika fainali Jumapili Uwanja wa Stade De France mjini Paris PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AIPELEKA UFARANSA FAINALI EURO 2016, APIGA ZOTE MBILI JERUMANI LAFA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top