• HABARI MPYA

  Friday, July 08, 2016

  DINA ATWAA DHAHABU NA KUWEKA REKODI MBIO ZA MITA 200 ULAYA

  Mwanariadha Dina Asher-Smith akifurahia baada ya kuweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza Uingereza kushinda Medali ya Dhahabu ya mbio za Ulaya mita 200 kuelekea michezo ya Olimpiki mjini Rio, Brazil baadaye mwaka huu. Dina alitumia muda wa dakika 22 na sekunde 37 kumshinda mpinzani wake Ivet Lalova-Collio mjini Amsterdam, Uholanzi jana  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DINA ATWAA DHAHABU NA KUWEKA REKODI MBIO ZA MITA 200 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top