AZAM FC WANAVYOJIFUA CHINI YA MAKOCHA KUTOKA HISPANIA
Kocha Mkuu wa Azam FC, Zebensul Hernandez Rodriguez (kulia) akimpa maelekezo beki wa timu hiyo, David Mwantika katika mazoezi ya jana kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Kushoto ni winga aliyekuwa kwa mkopo Simba SC msimu uliopita, Joseph Kimwaga
Makocha kutoka Hispania wa Azam FC wakizungumza na wachezaji kabla ya kuanza mazoezi
Kocha Rodriegiez akiwa na Msaidizi wake namba moja, Jonas Garcia Luis (kulia)
Kiungo na Nahodha Msaidizi, Himid Mao akikokota mpira mazoezini jana
Makipa wakiwa kwenye mazoezi yao peke yao jana Uwanja wa Azam Complex
Wachezaji wa Azam FC wakinyoosha viungo mazoezini jana Chamazi
Makipa wa Azam FC wakifanya mazoei ya kukimbia jana
Makocha wa Hispania wakiwasimamia wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi ya kunyoosha viungo
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment