UFARANSA YAFANYA MAUAJI EURO 2016, YAIFUMUA ICELAND 5-2
Kiungo Paul Pogba akienda hewani dhidi ya mabeki wa Iceland kuunganisha kona ya Antoine Griezmann kuifungia Ufaransa bao la pili katika ushindi wa 5-2 kwenye mchezo wa Robo Fainali ta yeuro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa. Mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Olivier Giroud mawili, Dimitri Payet na Antoine Griezmann wakati ya Iceland yamefungwa na Kolbeinn Sigthorsson na Birkir Bjarnason. Ufaransa sasa itamenyana na Ujerumani katika Nusu Fainali ya pili Alhamisi, wakati Wales itamenyana na Ureno Jumatano katika Nusu Fainali ya kwanzaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
APC NWC members receive certificate of return
-
Yilwatda promises to make APC party of choice for Nigerians From Romanus
Ugwu, Abuja The members of the National Working Committee (NWC) of the All
Progr...
0 comments:
Post a Comment