• HABARI MPYA

    Sunday, July 03, 2016

    NGASSA ALIVYOREJEA KAZINI SAUZI LEO BAADA YA KUMALIZA LIKIZO DAR

    Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa akiwasili Uwanja wa Ndege wa O Tambo, Johannesburg nchini Afrika Kusini tayari kuunganisha usafiri wa barabara wa saa moja kwenda Bethlehem kujiunga na klabu yake, Free State Stars kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kufuatia kumaliza likizo yake nchini 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGASSA ALIVYOREJEA KAZINI SAUZI LEO BAADA YA KUMALIZA LIKIZO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top