• HABARI MPYA

    Sunday, July 03, 2016

    BALOTELLI ALIVYOREJEA LIVERPOOL BAADA YA KUMALIZA MKOPO AC MILAN

    Mshambuliaji Mario Balotelli (kushoto) akikumbatiana na Dejan Lovren baada ya kurejea Liverpool jana. Balotelli amerejea Liverpool baada ya msimu uliopita kucheza kwa mkopo AC Milan na jana alianza mazoezi na wenzake Uwanja wa Melwood  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALOTELLI ALIVYOREJEA LIVERPOOL BAADA YA KUMALIZA MKOPO AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top