• HABARI MPYA

  Sunday, July 03, 2016

  LEICESTER CITY YASAJILI MIDO LE NICE YA UFARANSA

  Kiungo Nampalys Mendy akiwa ameshika skafu ya mabingwa wa England, Leicester City baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 13 kutoka Nice ya Ufaransa, huyo akiwa mchezaji wa nne kusajiliwa na kocha Claudio Ranieri anayesuka kikosi cha Ligi ya Mabingwa, baada ya awali kuwasajili Ron-Robert Zieler, Luis Hernandez na Raul Uche Rubio  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YASAJILI MIDO LE NICE YA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top