• HABARI MPYA

  Sunday, July 03, 2016

  KWA BANDARI MTWARA, SIMBA WALIIPATAPATA!

  Kikosi cha Bandari Mtwara kikiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam kabla ya mechi ya Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1993 dhidi ya Simba SC. Bandari haikuwahi kutwaa ubingwa nchini, lakini itaendelea kukumbukwa kwa namna ambavyo ilikuwa inaisumbua Simba kila timu hizo zilipokutana, iwe Dar es Salaam au Mtwara 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KWA BANDARI MTWARA, SIMBA WALIIPATAPATA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top