• HABARI MPYA

    Wednesday, July 13, 2016

    HILI NDILO 'BALAA' LA KIPA NGONGOTI WA AZAM FC KUTOKA HISPANIA

    Kipa wa Azam FC kutoka Hispania, Juan Jesus Gonzalez akiurikia mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo Jumanne Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
    Wachezaji wa Azam FC wakijifua vikali kujiandaa na msimu mpya
    Kiungo Frank Domayo akitafuta mipango ya kumtoka mshambuliaji John Bocco
    Kiungo Khamis Mcha 'Vialli' akijipinda kupiga shuti kwa mguu wa kushoto
    Beki Erasto Nyoni akimiliki mpira mnele ya wachezaji wenzake

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HILI NDILO 'BALAA' LA KIPA NGONGOTI WA AZAM FC KUTOKA HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top