• HABARI MPYA

    Friday, April 17, 2026

    YANGA NA JKT, SIMBA NA TRA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB


    MABINGWA watetezi, Yanga SC watamenyana na JKT Tanzania katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB.
    Katika Droo iliyopangwa leo Studio za Azam TV, Tabata Jijini Dar es Salaam, washindi wa pili wa msimu uliopita — Singida Black Stars watacheza na Coastal Union, wakati Azam FC itamenyana Mashujaa FC na Simba SC dhidi ya TRA United.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA JKT, SIMBA NA TRA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top