TIMU ya TRA United imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Bao pekee la TRA United katika mchezo huo limefungwa na beki Mzambia, Chanda Chewe dakika ya 60 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 27 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya sita wakiishishia Pamba nafasi ya saba ambayo inabaki na pointi zake 26 baada ha timu hizo kucheza mechi 19 kila moja.

.png)
0 comments:
Post a Comment