• HABARI MPYA

  Thursday, July 21, 2016

  CHELSEA YAPATA USHINDI WA KWANZA CHINI YA CONTE, YAWAPIGA 3-0 PZ PELLETS

  Kiungo kinda wa miaka 20, Bertrand Traore akishangilia na mkongwe Diego Costa baada ya kuifungia bao la kwanza Chelsea katika ushindi wa 3-0 dhidi ya RZ Pellets kwenye mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya usiku wa jana Uwanja wa Worthersee. Mabao mengine ya Chelsea inayoshinda kwa mara ya kwanza chini ya kocha mpya, Antonio Conte yalifungwa na Ruben Loftus-Cheek na Nathaniel Chalobah PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPATA USHINDI WA KWANZA CHINI YA CONTE, YAWAPIGA 3-0 PZ PELLETS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top